🌿 Shilajit Tanzania
Nunua Sasa
Chagua Kifurushi
Bei ya Kulipa
TZS 125000
-11%

Gharama ya delivery ni kati ya TZS 5,000 na TZS 10,000, kulingana na eneo ulilopo.

Resin Shilajit

(4.9 · Wateja 5+)

Resin Shilajit humsaidia mwanaume kuongeza nguvu, stamina, hamu ya tendo na kusaidia utendaji bora wa tendo la ndoa.

Maelezo ya Bidhaa

Shilajit Resin ni dutu ya asili inayotokana na milima mirefu ya Himalaya, yenye madini zaidi ya 84 na fulvic acid. Inasaidia kuongeza nguvu za mwili, kuboresha kinga, kupunguza msongo wa mawazo na uchovu, na kuongeza uwezo wa kiakili na kimwili. Bidhaa hii imetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu, bila kemikali za ziada, ikiwa tayari kwa matumizi salama ya kila siku.

Faida za Resin Shilajit

  • Kusaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa (libido)
  • Kusaidia kuongeza stamina na endurance
  • Kusaidia kupunguza uchovu na kuongeza nguvu za mwili
  • Kusaidia afya ya mfumo wa uzazi wa mwanaume
  • Inaweza kusaidia viwango vya testosterone kwa baadhi ya wanaume
  • Kusaidia stamina wakati wa tendo na uwezo wa kuendelea baada ya tendo
  • Kusaidia afya ya mzunguko wa damu, ambayo ni muhimu kwa uume kusimama vizuri

Jinsi ya Kutumia Resin Shilajit

1

Chukua kiasi kidogo cha Resin Shilajit kulingana na kipimo kilicho kwenye bidhaa.

2

Weka kwenye maji ya uvuguvugu.

3

Koroga mpaka resin iyeyuke vizuri.

4

Kunywa mara moja kwa siku. (Asubuhi au jioni)

Tazama Jinsi Resin Shilajit Inavyofanya Kazi

USHUHUDA

Wateja Wanasemaje Kuhusu Resin Shilajit?

Ushuhuda halisi kutoka kwa wateja walioridhika

Ushuhuda wa Juma Mwakalinga

Broo, zamani nilikuwa napiga kimoja tu chali πŸ˜‚πŸ˜‚ baada ya hapo full usingizi. Tangu nimeanza kutumia Shilajit sasa mambo yamebadilika kabisa… show show tu πŸ”₯πŸ˜‚ Hata nikiwa kazini mke wangu anapiga simu, β€˜Baby unarudi saa ngapi?’ πŸ˜… Noma sana hii kitu!

Juma Mwakalinga
Ushuhuda wa Alpha Mandela

Alpha Mandela
Ushuhuda wa Abdul Kareem

Abdul Kareem

Hii kitu itengwe aseeπŸ™ŒπŸ™Œ, nna washikaji zangu lazima niwarecomend waje wachukue huu mzigo noma sanaaa

Baraka luzoya

Mmenyooka, mzigo umenfikia bla kipengere, naqbalii

Hassan Idd