🌿 Shilajit Tanzania
Nunua Sasa
Chagua Kifurushi
Bei ya Kulipa
TZS 60000
-12%

Gharama ya delivery ni kati ya TZS 5,000 na TZS 10,000, kulingana na eneo ulilopo.

Crystal shilajit

(4.9 · Wateja 2+)

Crystal Shilajit humsaidia mwanaume kuongeza nguvu, stamina, hamu ya tendo na kusaidia utendaji bora wa tendo la ndoa.

Maelezo ya Bidhaa

Crystal Shilajit ni dutu ya asili inayotokana na milima mirefu ya Himalaya, yenye madini zaidi ya 84 na fulvic acid. Inasaidia kuongeza nguvu za mwili, kuboresha kinga, kupunguza msongo wa mawazo na uchovu, na kuongeza uwezo wa kiakili na kimwili. Bidhaa hii imetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu, bila kemikali za ziada, ikiwa tayari kwa matumizi salama ya kila siku.

Faida za Crystal shilajit

  • Kusaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa (libido)
  • Kusaidia kuongeza stamina na endurance
  • Kusaidia kupunguza uchovu na kuongeza nguvu za mwili
  • Kusaidia afya ya mfumo wa uzazi wa mwanaume
  • Inaweza kusaidia viwango vya testosterone kwa baadhi ya wanaume
  • Kusaidia stamina wakati wa tendo na uwezo wa kuendelea baada ya tendo
  • Kusaidia afya ya mzunguko wa damu, ambayo ni muhimu kwa uume kusimama vizuri

Jinsi ya Kutumia Crystal shilajit

1

Mega kiasi kidogo cha Crystal Shilajit (ukubwa wa punje ya harage)

2

Yeyusha kwenye maji ya uvuguvugu au kinywaji cha uvuguvugu.

3

Koroga vizuri mpaka iyeyuke.

4

Tumia kwa siku mara mbili asubuhi na jioni

5

Tumia baada ya kula kama tumbo lako ni sensitive.

Tazama Jinsi Crystal shilajit Inavyofanya Kazi

USHUHUDA

Wateja Wanasemaje Kuhusu Crystal shilajit?

Ushuhuda halisi kutoka kwa wateja walioridhika

Ushuhuda wa Alpha Mandela

Alpha Mandela
Ushuhuda wa Abdul Kareem

Abdul Kareem